Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
cjakuona ukitupia muda kdghahahaaa..uwe unachungulia chungulia mida mida mkuu! Nasubiria yako uliniahidi tangu juzi Naona jana hujaenda mazoezini!
cjakuona ukitupia muda kdghahahaaa..uwe unachungulia chungulia mida mida mkuu! Nasubiria yako uliniahidi tangu juzi Naona jana hujaenda mazoezini!
🙏🙏🙏Miye poa Boss Lady....
Kaelimishe wakemia wa kesho...
Na ubarikiwe sana![]()
Mbona natupia sana mjeda tatizo unapotea sana humu!!! Bado Upo???cjakuona ukitupia muda kdg
humu kn watu wanategea kuselfika

Hebu tupia kamoja Bosi Ledi mi nilaleMbona natupia sana mjeda tatizo unapotea sana humu!!! Bado Upo???



Wewe unaongoza!humu kn watu wanategea kuselfika
majukumu mrembo.bd nipo hebu tupia hapa au kule tunakojiachiagaMbona natupia sana mjeda tatizo unapotea sana humu!!! Bado Upo???
umeanza ukorofi wako.hebu tupia na mm nitupieWewe unaongoza!
Wanaselfika vizuri tu!! Mfano mzuri lovelyluckHivi wajeda huwa manaruhusiwa kuselfika?![]()
Asante my dear, naendelea vizuri.Pole rafiki unaendeleaje??
Dakika sifuri natupia hapahapa mie sipendi mafichoni mjeda🤣🤣😜😜!majukumu mrembo.bd nipo hebu tupia hapa au kule tunakojiachiaga
hahahaha.ni mjeda kumbe.Wanaselfika vizuri tu!! Mfano mzuri lovelyluck
Asante my dear, naendelea vizuri.
hahahaha.nimeselfika sana tu humu mkuuHivi wajeda huwa mnaruhusiwa kuselfika kweli? Hujawahi kuselfika hata kidogo Brig. General![]()
Tulia hapohapo msukuma natupia!Hebu tupia kamoja Bosi Ledi mi nilale![]()
haya tupia nione mremboDakika sifuri natupia hapahapa mie sipendi mafichoni mjeda🤣🤣😜😜!
Bado mwili una joto kama la jana?Asante my dear, naendelea vizuri.


Tupo Bosi LediTulia hapohapo msukuma natupia!

Ukiselfika wewe nakojoa hapa hadharani!hahahaha.nimeselfika sana tu humu mkuu
