Selfika na JF: Snap it. Show it

Ohooo
Naomba unifundishe
Bagia za dengu hazina process ndefu unakula chap tu
Mahitaji

Unga wa dengu kiasi chako
Amira
Kitunguu
Karoti
Hoho
Majani ya kotmiri
Maji
Chumvi

Maandalizi
Tumia bakuli lenye nafasi mimina unga na viungo vyote pamoja
Tumia uma au kijiko kuvuruga mchanganyiko wako
Ukiisha kuwa mlaini bila kuwa mabuja na usiwe mzito au mwepesi sana .
Acha mchanganyiko wako for 15 had 20 minutes
Weka karai lako jikoni lipate moto sawa sawa
Tumia kijiko cha chakula kuchotea kutia kwenye mafuta hakikisha zisizisambaa kwa sehemu kubwa . Acha iive na upande wa pili hadi kuwa brown mpauko
 
I have next door neighbors that are Muslim and we have become friends, he invited me today.. am non muslim fasting for ramadan, Am fasting in a bid to achieve an excellent state of health.
Ooh nice.
Ni vyema ndugu kukaa pamoja kwa amani
Looks like upo friendly
 
Asante
 
Kujamba sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…