Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii nyimbo sichokagi kuisikiliza

20220426_204720.jpg
 
Kila mtoto hapa ananirukia na haka ka baridi wananisubusu tuu.. sema acha niwahi kwa mtanga wangu Nuzulati maana hawa wananipaka majasho tu
Hizo chimbo unazokuwa unaonekana unapenda aisee mara umekutana kwenye room na Irene Uwoyo mara warembo we hakainga kuna kumeza kidonge kimoko deile😬😬😬
 
Back
Top Bottom