Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante sana mkuu, umeniongezea kitu cha kuzingatia hapa. Checkup kwa mwaka huwa nafanya mala mbili au tatu. Hizi dawa huwa nazichukua kwa wakole wana clinic yao pia huwa nakutana hata na baadhi ya viongozi wakubwa wa hii nchi yetu.. ila umenifungua sana macho
 
Ajajajajajajajajajajajajajajja!!Utatutoa roho ujue!! Halafu vyeusi sasa ile nayo Itakua Ndefu nene nyeusi! Kelsea njoo ona hivi vidole walahi
Bosi ledi bana...


Halafu usisahau mwenye hivyo vidole ni Msukuma original. Anakula migagani, mayoba/mūūli, manūmbū, bugali bonkūla, michembe, mabele maboboto....Bagosha!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…