Selfika na JF: Snap it. Show it

Enzi za ujana nilikutana rafiki yangu nje ya Bank, si tukasema tupige picha kama ukumbusho wee tulikoma na kujuta
🤣🤣🤣🤣🤣 ulijuta kupiga picha.

Nikipiga picha sehemu kama hizi huwa najidai kutuma sms😂😂hujui kama napiga picha.

Lakni kuna siku moja usiku nilipiga picha mahali kumbe flash iko on kudadeki🤣🤣🤣
 

mimi natafuta kitu cha kukata hamu ya kula maana si kupenda huku vinono
 
 
Kama unakula vizuri, unajisikia vizuri na unaonekana vizuri basi kweli unaupiga mwingi 👏🏾👏🏾👏🏾
1st time I'm using that kamsemo btw 😁😁

Mie nakula kidogo kwasababu nimeshazoea ila nilianza kwaajili ya kumaintain mwili. Mwenyewe natamani kufunga kama wiki mbili hivi ila kuna kauvivu flani hivi kamening'ang'ania 😟😟
 
😁😁 Upigwe mwingi sana.

Ujue nyie wanawake wa ki afrika inabidi muupige mwingi sana tokana na asili ya maumbile yenu.

Kufunga ni tiba nzuri, ina faida nyingi.
 
Balansidi dayati...

Ukimalize sasa siyo uguse guse tu halafu ukiache kama ilivyo kawaida yenu high class. Hata kubeba kilichobaki hata kama hakijaguswa huwa hamtaki. Huwa nawamaindi sana yaani

Nilimaliza ila sijui hizo Broccoli nimezishindwa
hizo ndiyo zimebaki kidogo.

High class wapi ..! wa matopeni tu sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…