Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa tufanyaje wakati wenyewe wanakwambia mbususu utapewa ukiwa unahudumia au kama wewe ni handaome boy.. so kuchapiwa kupo pale pale
 
Huyo shoga ako hakuwa mwema.. mwiko kwangu kukufundisha kitu ambacho najua sio kizuri, wewe ukiamua kukitenda ukitende kwa hulka zako.

Mimi nakunywa nikiamua, kama sijaamua hakuna mtu anaweza nishawishi.
 
Anaependa pombe alafu sijui alijifunzia wapi siku ya kwanza namuona anakunywa nilistaajabu aisee naona alikuwa anatafuta kampani[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ulevi ni ulevi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan gongo inatofauti na konyagi au kwakuwa Ile pure

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
🤣
Wanywa gongo huonagi midomo yao ilivyoungua?
Halafu huwa haijulikani ina % alc per vol ngapi, pia mazingira ya uandaaji huwa si rafiki.
Na ile kuwa cheap ndio maana inamaliza watu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…