Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,040
🙌🙌🤣🤣🤣
Ulikua umetupia na ka saraverza kadogo?
Heart beats huwa zinaongezeka kwa mvutaji yeyote (hata wa sigara).
Reason ni kwamba puffs zinaenda na kiasi fulani cha carbon dioxide (monoxide? Sina uhakika sana)
But hii carbon inapoingia kwenye damu, shortage ya oxygen inatokea.
As a result, moyo unakua forced kuongeza speed ya ku pump more oxygen kwenye flow ya damu.
Hiko ndo kilikutokea mkuu.
Next time usifanye vitu nyeti hivi bila mentor
