Selfika na JF: Snap it. Show it



Ooh yeah wanatusaidia sana kutunyoosha kimadili ...mtaa wanajua mtoto wa mzee fulani sema wakija kuzeeka wanakuwa wastaarabu hao .. sasa hizi nikikaa nae nasema ndo huyu au pacha wake .

Shule zile hazifai aisee sio kwa viboko vile ilibaki kidogo niende Jitegemee hakika ningenyoshwa .
 
Mie mzee wangu alikua hapendi nivae suruali
nilikua na lijimtandio kuubwa nikitoka nalivaa kwa juu nikipotea tu usawa wa home nalitupia kwene begi speed town. Maisha yale sitaki kukumbuka.

Aisee tumetoka mbali hapo ukifika karibia maeneo ya nyumbani unauvaa .

Sie hatujazoea suruali kihivyo Mimi kama kuanza kuvaa suruali nimeanza majuzi hapa muda mwingi ni magauni kwenda mbele .
 
Kama sahivi tu huyu amekuwa mshikaji sanaaa 🤣🤣
Imekuwa double kipenzi cha baba.


Jitegemee ungekoma 🤣🤣
Misala mingi sana pale
Ila kibishi tukasepapo 😍
Napakubali kiasi
 
Aisee tumetoka mbali hapo ukifika karibia maeneo ya nyumbani unauvaa .

Sie hatujazoea suruali kihivyo Mimi kama kuanza kuvaa suruali nimeanza majuzi hapa muda mwingi ni magauni kwenda mbele .
Tumetoka mbali mno yaan.
 
Mornie nicheki coz cm napoteza kila week tukae pale rotion ndo nlikuwepo mchana nakula mdudu..pillars night tutacheki
🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 itabidi nikuombee, wewe na kupoteza simu sijui mna shida gani….

Rotion na Kilombero kwa pacha sio mbali.. lile deal kesho liishe basi au?
 
Kama sahivi tu huyu amekuwa mshikaji sanaaa 🤣🤣
Imekuwa double kipenzi cha baba.


Jitegemee ungekoma 🤣🤣
Misala mingi sana pale
Ila kibishi tukasepapo 😍
Napakubali kiasi
Yule afande mrefu akuwa akiitwa Kumalija unamfahamu?
Alikuwa getini
 
Kama sahivi tu huyu amekuwa mshikaji sanaaa

Imekuwa double kipenzi cha baba.


Jitegemee ungekoma

Misala mingi sana pale
Ila kibishi tukasepapo

Napakubali kiasi



Yaani wanakuwa sweet daddy haswa ..
Sijui wanakuwaje huko kazini aisee wanafundishwa ukali tu


Yaani ningekoma haswa ...alingangania nisome hapo baada ya siku mbili selection ndo zikatoka ikawa pona yangu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…