Selfika na JF: Snap it. Show it

Me najua tu vitunguu na yebo
sijui nama krochi…

Nimemtumia picha nilizokuwa nimesuka December
akanijibu unazingua sana.. nilisuka, January to February nikawa nachana… sahivi nimenyoa, tena nimenyoa chini kabisa

Ukiwa hausuki misuko unaionea kwa picha tu

Umeshazoea zako kunyoa na una kichwa kizuri cha kunyoa maana unapendeza tu .
Kunyoa raha hupotezi hata muda asubuhi ukiwa unatoka .
 
Camera tu hio mkuu mie flat screen kabisa!!πŸ™ƒ Ila asante ✌️✌️
Hio tv ya chogo kabisa naiona tena nchi 75 na nusu.

Basi tu, ngoja nife kijerumani na tai yangu shingoni, kama mimi pisi kama hii naanza kulamba unyayo wa miguu kwa hasira.
 
Ukiwa hausuki misuko unaionea kwa picha tu

Umeshazoea zako kunyoa na una kichwa kizuri cha kunyoa maana unapendeza tu .
Kunyoa raha hupotezi hata muda asubuhi ukiwa unatoka .
Kichwa gani kizuri? Hiki kirefu kama panga? Hahaa nakaza tu πŸ˜…
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ!!!!!
Hio tv ya chogo kanisa naiona tena nchi 75 na nusu.

Basi tu, ngoja nife kijerumani na tai yangu shingoni, kama mimi pisi kama hii naanza kulamba unyayo wa miguu kwa hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…