..kukuwekea kauzibe tena???
Kwani wewe haupo ktk like kundi la TDH (Tall,dark and handsome)?
.Nilipoona hiyo campaign hapa jf nikainua mikono juu nikasema hapa sina changu maana sina hizo sifa zote,nikasema wanawake wote wa if kuanzia leo ni dada zangu
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app