Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Shangazi

Shangazi

AmiinBaraka zake Mola ziwe nasi sote,leo na hata milele...View attachment 2196155

Dah.. 😊😊😊 fantabolous
Huko mtanisubiri sana 😁😁 Sitaki stress zaidi mie 🥵kama tunavyokusubiri kwenye trading 😉😉
Nitazipo baada tu ya dk kadhaa
Jf kuna pisi kali
Danganyikeni tu 😄😄Jf kuna pisi kali
Vipo viondoa stress bwana.. 😎 😎Huko mtanisubiri sana 😁😁 Sitaki stress zaidi mie 🥵
Fanya haraka kabla mvua haijarudi.😄
kwani wewe sio pisi kali ... niitishe maandamano kutokea mwenge hadi postaDanganyikeni tu 😄😄
Ah wapi...tunaona kabisa hapa mrembo portable, mrembo carriable kabisa.Danganyikeni tu 😄😄
Wapi huko?Aisee kumbe tupo mkoa mmoja
Bado kukuphotoa na wewembona umempiga picha mdogo wangu.. unatafuta ugomvii 😎😎😎😎
Daah naona umeamua kututia moyo wenye matege yetuMwanamke katege flani bwana, sio mamiguu yawe yamenyooka kama gori la mpira wa miguu yani anakuwa kama jini kasimama road au jini anatembea
weeeee.. nikung'oa kucha bila ganzi 😎 😎Bado kukuphotoa na wewe
wenye matege mmbarikiwe mnaviti vyenu maalamu kabisa.. bila ka utege kwa mwanamke hajakamilika bado.. anakuwa kama mwamba tu au kama nguzo ya umeme tu 😎😎Daah naona umeamua kututia moyo wenye matege yetu
Wee sema muda gani utakuwepo mitaa hiyo mie nitapiataWapi huko?
Sasa tege linaniga mwanamke uwe unapendelea kuvaa dresses zinazoishi just below the knee😍😍😍😍Daah naona umeamua kututia moyo wenye matege yetu
Hadi mwakani tenaWee sema muda gani utakuwepo mitaa hiyo mie nitapiata
Basi sawawenye matege mmbarikiwe mnaviti vyenu maalamu kabisa.. bila ka utege kwa mwanamke hajakamilika bado.. anakuwa kama mwamba tu au kama nguzo ya umeme tu 😎😎
Mlele umepita.. hatari sana inakuwa... unaweza baki umeduwaa kwa kulitazamaaSasa tege linaniga mwanamke uwe unapendelea kuvaa dresses zinazoishi just below the knee😍😍😍😍