Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaongea na mama tu aisee
Sie wenye baba tu ndo mtihani kuwafuta na kuwaambia ..
 
Mimi msala wa makapu hauwezi Nikita..
Nampenda Bwana siweki vikapu mwishowe fuvu lizidiwe kubeba mizigo ya dhambi masikioni😂😂😂
 
Mama yangu mwenyewe anaongeaga tu mambo mengine
Hajawahi hata..

Nina dada kibao,hakuna aliyewahi niambia.

Nafikiria kwa mfano nimepata mtu,sijui itakuwaje
nitamwambia nani?
Na nitaanzia wapi??

Muda ukifika mbona mambo yenyewe yatajieleza aisee ..
Unaweza mwambia mama au mtu mwingine wa karibu ..
Ngoja wakubwa wakupe uzoefu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…