Selfika na JF: Snap it. Show it

Eeh kumbe jf mnadate kabisa🤣🤣🤣🤣 usiniambie....sasa ikawaje au ndio alikula mbususu na kusepa🤣🤣🤣🤣
 
Una mpango wa kuoa ama ndo bye bye?
 
Eeh kumbe jf mnadate kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usiniambie....sasa ikawaje au ndio alikula mbususu na kusepa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wewe tafikiri hujapata mbususu humu [emoji23][emoji23]
 
Yes itokee tu automatically mmeconnect na mmependana, ila sio kwenda love connect aah.

(Ila nilivyo mmbea, nimetamani nimjue huyo ex wako wa humu eti 🏃🏃)
 
Haki ya Mungu.......
Ila hao wanaume wanayatafuta wenyewe.
Mwanakulitafuta atalipata.

Moto unakuja kuwawakia huko wanaanza kutafuta huruma za jamii wakati washayakoroga wenyewe Kwa kujidai vipofu.

Kuna mpendwa wetu jirani mmoja yaani hadi huruma...anafanya mazoezi ya uchungaji .mkewe hata kumsapoti japo amsindikize anakosali au kwenye huduma hakuna..kila mtu na hamsini zake.
Mara amesomba vyombo ameondoka yaani drama kibao zilizogeuka comedy kwetu wapenzi watazamaji.
 
Mweeh pole yake. Hapo unakuta anashindwa kumuacha; Mchungaji ataonekanaje kwa waumini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…