Selfika na JF: Snap it. Show it

Sidate mume wa mtu na muda wakuolewa ukifika nitaolewa tu.
Wewe acha hizo bwana mwanamke mrembo na tabia nzuri hawezi kmwenkukosa mume in time. Tatizo lenu semeni ukweli kuna vijitabia ambavyo vinakinzana na uwezekano wa nyie kuwa wife
 
Wewe wa humu ndio hao wa mtaani...tena unaweza kuta huyu handasome boy anaye kupa bp na shell ndio tunapigana nae atory kitaa anatuambia jinsi unavyo msumbuaga na text zako na jinsi anavyolichapaga takoo wakati wa style pendwa ya chuma mboga
Maana yangu siwez ingia love connect kutafuta bwana wakat naweza pata hata kwene mizunguko yangu. Alaf nilikuambia huyo mwanaume nilishaachana nae hata mawasilianao nae sina.
 
Sasa Mange yeye anaumia wapi? Lulu kama alianza kudate akiwa mdogo yeye inamuhusu nini? Mbona sioni cha maana alichoandika Mange kweli roho mbaya na wivu wa kijinga kazi sana.
Wivu tu hapo hana jipya mama yule
Yeye ana miaka 42 , Lulu ndo kwanza freaking 27 au 28 hapo .
Ugomvi na watoto unamsaidia nini yeye anataka watu walipie tu app yake ili apate hela hzil
 
Wewe una ndoa ngapi hadi sasa ukipigia idadi ya uliodate nao
Sasa wee ulishanisikia mie humu jf nikisema kiwa nina date na mwanamke? Mie ninamwambia mwanamke ukwwli kuwa am not a one woman man love me at ur own peril. Wee ukiwa na mie unue tutaishia kuwa sexmates tuu.
 
Kwamba wenye Hela wote iwe jf iwe hiko mnakoita mtaani ndio wameshawowa ama??????🤔🤔🤔😳😳😳😳
Haya ushauri ndio huo mlishapewa kazi kwenu....sii mlikuwa mnatusema sie wanaume wa jf hatuna hela kumbe hamjui sie ndio wanaume bora kimbilie hao wa mihela wasasambue mbususu zenu.
 
Mange limelipua bomu .
Limeachia video ya mwenzie yaani


Umbea sipendi ila unanifikiaga tu..
Kuna group Moja la shule nipo basi huwa wanaweka kila kitu huko ..
Mimi nastukia tu gallery yangu imejaa mapichapicha.

Mange ni chizi yule
Ndo maana nimemunfollow ..unawezaje kumshusha thamani mwenzio hivyo

Anha magroup huwa yanaleta info...mimi kwa sasa ndo nimepunguza kufuatilia umbeya ila bado nipo nipo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…