Selfika na JF: Snap it. Show it

So sad
Juzi nilimjibu mtu vibaya sio kawaida yangu ila alinikera aisee , ananipa pressure ya nn ..
Yaani kuolewa usiolewe wewe halafu anayehangaika mwingine.
Yaani sisi watanzania bwanaπŸ˜†
Wanasababisha watu wajisikie vibaya..yaani nakuelewa sana.

Mimi pia nina dada yangu,huwa najaribu kumuweka sawa kwamba asitafute kuridhisha watu ambao hata hawamnufaishi kwa chochote.
 

Aisee inakera muda mwingine ukute sasa hata huchagua watu kihivyo .. upo zako tu unasubiri aje anayefaa tu .

Ni fikra tu za watu ,Halafu wao wanahisi wanaume ni waoji kumbe si wote .. wengine Ni wapitaji tu .

Wanawake inabidi tutiane moyo ila inakuwa otherwise kama ishu hii ya lulu na Mange aise sio fair kabisa
 
Jaman kwanza sio kila mwanaume anafaa kuwa mume ujue hilo sasa naingiaje mahala naona kabisa hapa hapafai eti kisa nataka ndoa? Bora nibaki zangu tu single.
Sasa na wewe inabidi ujiulize wat is it about u that keeps attracting f.uck boys.
Usilaumu tuu upande mmoja nawe pia unakuwa na vitu inabidi ubadili
 
Sio wewe tuu muulize Kelsea pia anasema ensamu boys wamemtesa sana ila wanazipelekea mbususu moto vizuri.

Wee ningekuwa handsome boy mbona wee ningekuwa nilishakupanutamu wa ukuni na ulivyo mrembo
mie nipo likizo
 

Kuna watu huwa ni malimbukeni especially anapoona yeye amepata kabla ya wengine; anajihisi kashayapatia maisha. Na wanaonaga wenzao wote waliokosa ni kama wana matatizo

Afu unaanzaje kukutana na mtu na kumuuliza "una watoto wangapi"? What if ameolewa na ana changamoto za kupata mtoto, atajisikiaje mwenzio? Kama kuna stories ninazoziavoid ni hizo za familia, watoto, kazi. Ambaye hana, anajisikiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]


Hakika
Thanks , I value and respect your opinion.
 
Sijasema kwamba nakutana tu na hao ulowataja wapo wa aina zingine lkn naona kabisa siwez ingia kwene ndoa coz sijaona tunayefaana.
Ah kumbe...basi wek tangazo love connect watu watumw cv zao. Unaweza pata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…