Usiwaze babu vipi nikuletee Usiku juu ama kesho [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787]!!??Nina siku mbili nimeshindwa kwenda shambani, mgongo una nisumbua sana Mjukuu. Niliongea na wenzako wanasema ni zamu yako kuniletea dawa za kuchua.
Fanya mpango uniletee hizo dawa niweze kujichua mwenyewe, wazee hatuwezi kukaa bila kufanya kazi [emoji2957][emoji87]
Naona pasaka umekuja kivingine mkurugenzi😂😂😂[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2193409
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mzungu wetu wewe unapendeza ukivaa kizunguzungu tu
Wakati wa Mungu ni kama Upepo mkali
[emoji3][emoji3][emoji3]mifuko ya mashine,jmn[emoji119][emoji119]pole sana
Oi Auntie akina Tomaso tunataka kuona ile mifuko ya machine inayotolewa kwenye vitenge😆[emoji2][emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3]wale wapenda hereni jmn,hata kesho poa tu
Oi Auntie akina Tomaso tunataka kuona ile mifuko ya machine inayotolewa kwenye vitenge[emoji38]
Niko njianiUsichelewe!
EwaaNgoja nitatupia ya kanisani siku moja...[emoji2][emoji2]
Mkuru anaupiga mwingi....Naona pasaka umekuja kivingine mkurugenzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Dadako mkono wa makonzi Uko vizuri.Unaelewa bwana
Usitake nikwambie uniwache[emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Marekebisho si ya kawaida tu mzungu (labda hips imebana/kuzidi kidogo); ila ukisharekebisha nguo inakaa sawa; perfect fitting?Nimebahatika mara chache kushona nguo,halafu isiwe na marekebisho...
Leo tutayadabo
Anavyopita sasa
Uwiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dadako mkono wa makonzi Uko vizuri.
Sasa wewe jichanganye utoke nje ya mstari[emoji1787][emoji1787]
Ankali location inasoma mjini