π€£π€£Nitokee hapa na macho yako kama mayai ya samaki. Ulinipa mafuta nikawa na kitambi?
Niitie Davet wangu kwanza πChaaaaaah!!!!πββοΈ
Siku zote mbona huniambiii!!!
Sijapenda na nyie wote mlioleta hizo mada mtaingizwa kwenye moto wa kumkaanga shetaniπ
E bwana eeeh???Niitie Davet wangu kwanza [emoji846]
[emoji1787][emoji1787] afu nikwambie nini? Na uliamua mwenyewe kuvutia sigara karibu na sheli
Sawa mkurugenziRoast duck...
Leo nakula bata...literally [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2193343
NakujaRoast duck...
Leo nakula bata...literally [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2193343
Sahani kama yangu jamani mideko
Kwa kuziangalia tu hizi ndizi ni tamu mno
Ukienda mrudi na kitu kinachoeleweka[emoji2088][emoji2088]Nakuja
Mamaa wa misosi!ππππππ
Godauni for life πΉE bwana eeeh???
Umeingizia na sheli tena?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia kwanza hapo godauni
Ngoja tukupe energy drink...
Muache Davet tafadhali..anakamilisha madili huko atuokoe majobless,,namuandalia vijana wa kupiga kazi.
Ila mdogo etu Sijapenda kabisa[emoji1787][emoji1787]
Hivi upo?
Kama upo nakusalimia tu mimi
π πSahani kama yangu jamani mideko
Kama niniUkienda mrudi na kitu kinachoeleweka[emoji2088][emoji2088]
π€£π€£π€£Mamaa wa misosi!ππππππ
Mwambie aweke π€£π€£π€£ kwani mimi ndio nimezishika jamaniIla mdogo etu Sijapenda kabisa
Mmemtishia boss ledi ameshindwa kuweka screenshot.
Mbona huwaga tunaweka tu hapa na hakuna chochote kinachotokea.
Tuachie boss wetu aiseeGodauni for life [emoji81]
Hizo deals zipo tu, hanaga bayaβ¦. Ila muiteeee [emoji41]
Mimi nikimuita ni call mpaka saa 8 [emoji1787]
Unaelewa bwanaKama nini
Si nyie mmemtisha ooh ban na blah blah zenu kibao.Mwambie aweke [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani mimi ndio nimezishika jamani