Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,548
- 235,319
Oi oi shangaziππππUkipotea tunapooza sana mpaka tunaingilia shughuli zako za u mc[emoji2][emoji2][emoji2]
Anavonipenda kufaaaaπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έhebu mniache na mjeda wangu kila mmoja apambane na hali yake mazee mwisho wa siku kila mmoja atajibu dhambi zake!ππ€π€π€Boss ledi uko na hakika mjeda alikusamehe kweli?
Dah!Asante,nikisimama kigodoro kinakaa vibaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2096][emoji2096]
Unanichoma boss ledi
Na anakupenda kweli laiti ingekuwa hawa vichomi wetu yaani akinusa tu harufu ya Usaliti ni kipigo cha mbwa talaka inafata kwa wazazi π¬Anavonipenda kufaaaaπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έhebu mniache na mjeda wangu kila mmoja apambane na hali yake mazee mwisho wa siku kila mmoja atajibu dhambi zake!ππ€π€π€
Weee Wacha weeπ€Anavonipenda kufaaaaπ€Έπ€Έπ€Έπ€Έhebu mniache na mjeda wangu kila mmoja apambane na hali yake mazee mwisho wa siku kila mmoja atajibu dhambi zake!ππ€π€π€
Dah!
Nimepitwa.
Omujungu!
This hurts!
Siyo poa [emoji51]Pole sana mjomba,next time[emoji2]
Bado Mimi siamini aisee..Na anakupenda kweli laiti ingekuwa hawa vichomi wetu yaani akinusa tu harufu ya Usaliti ni kipigo cha mbwa talaka inafata kwa wazazi π¬
Na anakupenda kweli laiti ingekuwa hawa vichomi wetu yaani akinusa tu harufu ya Usaliti ni kipigo cha mbwa taraka inafata kwa wazazi π¬
Hio sio kesi yanguBado Mimi siamini aisee..
Yaani wabongo hawahawa??nyieπππππ
Natamani kujua akirudi mjeda huwa analala kabisaa usingizi unampitia mimi siwezi unashangaa unapigwa kisu cha moyo huku anakuchekeaπ¬Weee Wacha weeπ€
Tuhadithie kidogo
Umebahatika mpendwa huyo bro hana mdogo wake niombe huku talaka nije huko kwenye neema hata ukisaliti π¬π¬Hapigi mwanamke kabisa mana akimshika tu ni kesi ya mauaji!!
Siyo poa [emoji51]
Kuna watu hawana roho ya visasi na anajua miaka 3 yeye angeweza πππBado Mimi siamini aisee..
Yaani wabongo hawahawa??nyieπππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!!Natamani kujua akirudi mjeda huwa analala kabisaa usingizi unampitia mimi siwezi unashangaa unapigwa kisu cha moyo huku anakuchekeaπ¬
πππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!!
Kwa kweli tupambane na mahusiano yetuInatosha sasa pambaneni na hali zenu sasa!! ya bosi ledi tumuachie mwenyewe!!πππ€
Ngoja tumuulizeNatamani kujua akirudi mjeda huwa analala kabisaa usingizi unampitia mimi siwezi unashangaa unapigwa kisu cha moyo huku anakuchekea[emoji51]