Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 19, 2022 #181,141 Kelsea said: na kwa matukio hawa viumbe wapo vizuri sana Click to expand... Hahaha Unajihisi main chick kumbe upo kwenye foleni huko
Kelsea said: na kwa matukio hawa viumbe wapo vizuri sana Click to expand... Hahaha Unajihisi main chick kumbe upo kwenye foleni huko
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 19, 2022 #181,142 tamsana said: Kwanza ukishaona mzigo ni kidogo utaona text inajibiwa baada ya lisaa Click to expand... Mzigo kidogo kama ngapi? wewe unatoa kutokana na uwezo wako bwana
tamsana said: Kwanza ukishaona mzigo ni kidogo utaona text inajibiwa baada ya lisaa Click to expand... Mzigo kidogo kama ngapi? wewe unatoa kutokana na uwezo wako bwana
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Apr 19, 2022 #181,143 tamsana said: Kwanza ukishaona mzigo ni kidogo utaona text inajibiwa baada ya lisaa Click to expand...
tamsana said: Kwanza ukishaona mzigo ni kidogo utaona text inajibiwa baada ya lisaa Click to expand...
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 19, 2022 #181,144 Tinsley said: Hahaha Unajihisi main chick kumbe upo kwenye foleni huko Click to expand... Na ukija shtuka kuchomoka haraka haraka inakua mtihan utapigwa kila aina ya matukio kuja kushtuka ushafubaa.
Tinsley said: Hahaha Unajihisi main chick kumbe upo kwenye foleni huko Click to expand... Na ukija shtuka kuchomoka haraka haraka inakua mtihan utapigwa kila aina ya matukio kuja kushtuka ushafubaa.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 19, 2022 #181,145 Aslama lyeikum Mjep
tamsana Platinum Member Joined Jan 13, 2012 Posts 3,831 Reaction score 8,247 Apr 19, 2022 #181,146 Kelsea said: Mzigo kidogo kama ngapi? wewe unatoa kutokana na uwezo wako bwana Click to expand... Ndio hapo sasa utapimiwa kwa kiwango chako. Unashangaa unapigwa calendar wakati wenye mzigo wa maana wanagusa tu.
Kelsea said: Mzigo kidogo kama ngapi? wewe unatoa kutokana na uwezo wako bwana Click to expand... Ndio hapo sasa utapimiwa kwa kiwango chako. Unashangaa unapigwa calendar wakati wenye mzigo wa maana wanagusa tu.
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 19, 2022 #181,147 Kelsea said: Na ukija shtuka kuchomoka haraka haraka inakua mtihan utapigwa kila aina ya matukio kuja kushtuka ushafubaa. Click to expand... Acha tu ,haya mambo sio kabisa Inabidi u move on kiubishi tu .
Kelsea said: Na ukija shtuka kuchomoka haraka haraka inakua mtihan utapigwa kila aina ya matukio kuja kushtuka ushafubaa. Click to expand... Acha tu ,haya mambo sio kabisa Inabidi u move on kiubishi tu .
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 19, 2022 #181,148 tamsana said: Ndio hapo sasa utapimiwa kwa kiwango chako. Unashangaa unapigwa calendar wakati wenye mzigo wa maana wanagusa tu. Click to expand... No comment
tamsana said: Ndio hapo sasa utapimiwa kwa kiwango chako. Unashangaa unapigwa calendar wakati wenye mzigo wa maana wanagusa tu. Click to expand... No comment
tamsana Platinum Member Joined Jan 13, 2012 Posts 3,831 Reaction score 8,247 Apr 19, 2022 #181,149 Kelsea said: No comment Click to expand... 😀😀👐👐
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,699 Apr 19, 2022 #181,150 Enzi zetu ili uweze kupata mchumba/mke ni lazima uwe na historia ya kupambana na mmoja wa Wanyama hawa 💪💪 Nilipowaona humo nikatamani nikumbushie enzi, bahati tu umri umenitupa mkono🤪🤪 Hello Tuesday 🥂
Enzi zetu ili uweze kupata mchumba/mke ni lazima uwe na historia ya kupambana na mmoja wa Wanyama hawa 💪💪 Nilipowaona humo nikatamani nikumbushie enzi, bahati tu umri umenitupa mkono🤪🤪 Hello Tuesday 🥂
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,322 Apr 19, 2022 #181,151 tamsana said: Selfika tuone mkuu Click to expand... Badae
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,322 Apr 19, 2022 #181,152 Kelsea said: Pole mama , umenyoa fupi kabisa au? Click to expand... Hahahaaa... Hapana nawatania sijanyoa nakomaa nazo hivihivi kibishi
Kelsea said: Pole mama , umenyoa fupi kabisa au? Click to expand... Hahahaaa... Hapana nawatania sijanyoa nakomaa nazo hivihivi kibishi
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 19, 2022 #181,153 mahondaw said: Hahahaaa... Hapana nawatania sijanyoa nakomaa nazo hivihivi kibishi Click to expand... Poa poa
mahondaw said: Hahahaaa... Hapana nawatania sijanyoa nakomaa nazo hivihivi kibishi Click to expand... Poa poa
Gallius JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,999 Reaction score 8,353 Apr 19, 2022 #181,154 Christine1 said: Njemaaa sana Click to expand... Uwe na j4 yenye baraka tele..
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Apr 19, 2022 #181,155 Kelsea said: Hamna bwana wewe mwaga hela hizo Click to expand... Usiniambie....soo basi njoo pm huku nikumwagie ndalama tupeane mautamu
Kelsea said: Hamna bwana wewe mwaga hela hizo Click to expand... Usiniambie....soo basi njoo pm huku nikumwagie ndalama tupeane mautamu
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,995 Reaction score 48,500 Apr 19, 2022 #181,156 Mngeingia humo ukajaribu mapambanoukumbushie enzi zenu
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,507 Reaction score 88,676 Apr 19, 2022 #181,157 Tinsley said: Hahaha Unajihisi main chick kumbe upo kwenye foleni huko Click to expand... Kwani jamani sii mmesema kuwa cha msingi huduma. Haya mambo ya kutaka kuwa main chick yanatoka wapi tena
Tinsley said: Hahaha Unajihisi main chick kumbe upo kwenye foleni huko Click to expand... Kwani jamani sii mmesema kuwa cha msingi huduma. Haya mambo ya kutaka kuwa main chick yanatoka wapi tena
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,995 Reaction score 48,500 Apr 19, 2022 #181,158 mahondaw said: Hahahaaa... Hapana nawatania sijanyoa nakomaa nazo hivihivi kibishi Click to expand... umetuweza mbona
mahondaw said: Hahahaaa... Hapana nawatania sijanyoa nakomaa nazo hivihivi kibishi Click to expand... umetuweza mbona
Strawbella JF-Expert Member Joined Mar 24, 2021 Posts 1,758 Reaction score 5,803 Apr 19, 2022 #181,159 Kelsea said: Mzigo kidogo kama ngapi? wewe unatoa kutokana na uwezo wako bwana Click to expand... hilo swali kama unataka ku burgain hivi
Kelsea said: Mzigo kidogo kama ngapi? wewe unatoa kutokana na uwezo wako bwana Click to expand... hilo swali kama unataka ku burgain hivi
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 19, 2022 #181,160 Strawbella said: hilo swali kama unataka ku burgain hivi Click to expand... acha uchokozi