Selfika na JF: Snap it. Show it

Sina habari za mahusiano nae tena ...nilikoma nikatubu mazima kama kuna taarifa mlizisikia ni fekero sasa ngoja niwape mkanda mzima muamini msiamini sio kesi yangu niwape nisiwapeee🀸🀸🀸😜😜
Kwa kweli shoga ishikilie ndoa yako kwa mikono miwili kama una ugwadu mfate huko huko mdhamini mtu anayekuita mke wangu Mama ni hayo tu
 

Nafikiri wengi wetu kigugumuzi kilikuwepo hapo kwenye kuwa na audacity ya kuchepuka halafu mnapublicise mahusiano yenu mitandaoni. Hayo mengine as long as alitubu kweli kwa mumewe na kwa Mungu wake; sisi hatuna neno.

Btw; Wanawake ana uwezo wa kustahimili ukame kwa muda mrefu sana, labda tu atakuwa ana-crave sana your attention; mawasiliano yawepo mazuri na constantly. Wakati mwingine distance sio excuse, ni tabia zetu tu binafsi. Mbona wengine wapo wote daily na unakuja kushtukia mwenzio ana mimba ya mtu mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…