Selfika na JF: Snap it. Show it

Ohooo.... Just because my hubby yuko nje ya nchi huwa anakuja mara 3 au 4 kwa mwaka so nina muda mwingi tu
Kwahiyo yeye kuwa nje ndo sababu ya kumcheat?
Vipi akija kugundua?
Jf hayupo?
Na kama hayupo,je hakuna watu wanakujua humu??maana naona huwa unajiachia sana upande wa selfie tunaona Hadi sura๐Ÿฅฐ
 
Kitu kikiletwa chit chat si cha kuchukulia serious kamba ni asilimia 80
 
Kitu kikiletwa chit chat si cha kuchukulia serious kamba ni asilimia 80
Yaani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sema Mimi mwanzo nilikuwa nadhani utani tu ,,lahaula nikaona tag zimepamba moto, nyuzi kibao Hadi naona picha za keki zimeandikwa majina.
Nikaanza kuwaza labda Kuna namna.
 
Jf Hayupo na nishamsimuliaga everything kuhusu jf ....! Everything nikatubu kabisa..
Kama ni kweli.....
Huoni kama kuna siku anaweza akaja akaingia JF out of curiosity? Afu imagine anakutana na comments zako like "mchepuko wako unahaha; you two are having an unfinished business etc. Na kama ulivyoongea huko kuhusu maugomvi sijui majungu kisa mchepuko wako hadi unaanzishiwa threads, it looks like bado unampambania mchepuko kutoka kwa wanawake wengine; is there any sane man/husband who can tolerate that? Mumeo ni hawahawa waume zetu wa kibongo ninaowafahamu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ