Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,985
- 177,209
😂😂😂😜🤣🤣 wait
😂😂😂😜🤣🤣 wait
Kaa Hapo usitoke
Usfute kabla sjalike mkuu npo hapa kwenye kimbweta nasubiri madam mkemiaKaa Hapo usitoke
Mkuu nipe jina la shule unayosomesha nataka nianze upya kupambania ndoto yangu ya udakitariOparesheni punguza kitambi!! Mazoezi yanaendelea!View attachment 2192363
hahahaaa......Mkuu nipe jina la shule unayosomesha nataka nianze upya kupambania ndoto yangu ya udakitari
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Yaani kwa nje huna kasolo Mashaalah ilikuwaje kuwaje yaani bro anafelii wapiiii😬😬Yule tuna pending business! 🤗🤣😂
Wadada kama hawa hawatuliagi wanajiaminigi sana tatizoYaani kwa nje huna kasolo Mashaalah ilikuwaje kuwaje yaani bro anafelii wapiiii![]()
Asubutuuu huyu dada alitulia wewe kumtambukisha mwenza jf unadhani kitu cha mchezo mchezo labla kwa wengine ila kwa M hapana😬Wadada kama hawa hawatuliagi wanajiaminigi sana tatizo
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Yule nina kesi nae wakuisovu sijui nani hata..!Yaani kwa nje huna kasolo Mashaalah ilikuwaje kuwaje yaani bro anafelii wapiiii😬😬
🤔🤔🤔🤔🤔!Wadada kama hawa hawatuliagi wanajiaminigi sana tatizo
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Muachie Mungu best songa mbele ila kaacha chuma aisee hawezi mpata kama wewe 😍Yule nina kesi nae wakuisovu sijui nani hata..!
Asubutuuu huyu dada alitulia wewe kumtambukisha mwenza jf unadhani kitu cha mchezo mchezo labla kwa wengine ila kwa M hapana😬
Muachie Mungu best songa mbele ila kaacha chuma aisee hawezi mpata kama wewe 😍
Maskini nmekumbuka basi ule uzi dahTatizo Anapenda wa fujo fujo na ma ugomvi ugomvi sasa mie ugomvi siwezi mwenzio!