Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23] kubwa kama ninii, una matatizo Anne [emoji38]
Si unaona
Madole gumba yalivyojiviringa


Depal
IMG_20220418_170307_524.jpg
 
Kuna siku mdogo wangu alinambia vidole venyewe kama tangawizi na bado vinakumalizia hela [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwambie akae Kwa kutulia[emoji23]
Mwili uwe mwembamba ,na vidole navyo??
Hapana [emoji23]
 
Back
Top Bottom