Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,220
masela wa kijiweni aunt!Eti wasalimie masela![]()
masela wa kijiweni aunt!Eti wasalimie masela![]()
😂😂😂 depa acha basiHebu simama nione 😜
Haya simama sasa tuone!🤣🤣🤣🤣 nikisimama hutoamini kama ni mimi
Kumbe jf kuna pisi kali...mbona hamsemi jamaniKijiweni 🤗
View attachment 2191953
chimama tukupe jawadi mtoto mjuri!😂😂😂 depa acha basi
Bosledi tuliaaa 😜😜Haya simama sasa tuone!
masela wa kijiweni aunt!
Usinichuze sitakiii mimi bosledi 😂chimama tukupe jawadi mtoto mjuri!
Hakika huna mume🤣🤣🤣🤣🤣
Tufanyie wepesi pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Bosledi tuliaaa 😜😜
sikuchuzi Ketty bana fanya namnaUsinichuze sitakiii mimi bosledi 😂
usiwaze badae kidogo auntieTupia ka jioni mrembo..
usiwaze badae kidogo auntie
We mzee tubariki basi na pichaKumbe jf kuna pisi kali...mbona hamsemi jamani
Usijali bosledi badae ntawekasikuchuzi Ketty bana fanya namna
Ah wee mie zura yangu kama mbuzi mambo ya picha nitaweza wapi....aisee ila huyu inaonakana ni mrembo matata sijui kashaokewa.....ngoja nizame pm kwake tuoneWe mzee tubariki basi na picha
Tupia selfie basi 😜Kumbe jf kuna pisi kali...mbona hamsemi jamani
Ah selfie ya kibabu ya nini tena waremboTupia selfie basi 😜
PoapoaUsijali bosledi badae ntaweka