Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Haya bwanaAh wee mie zura yangu kama mbuzi mambo ya picha nitaweza wapi....aisee ila huyu inaonakana ni mrembo matata sijui kashaokewa.....ngoja nizame pm kwake tuone

Haya bwanaAh wee mie zura yangu kama mbuzi mambo ya picha nitaweza wapi....aisee ila huyu inaonakana ni mrembo matata sijui kashaokewa.....ngoja nizame pm kwake tuone

Akiweka naomba unitagPoapoa
Usiwaze mkuu nitakuita fastaaa...Akiweka naomba unitag
Kwanini?Hakika huna mume![]()
Kwa chakula hicho kweli mechi ya sita kwa sita utaiweza kama sio kuzimiaKwanini?
Kwanini nizimie?Kwa chakula hicho kweli mechi ya sita kwa sita utaiweza kama sio kuzimia
Sii unakuwa hujashiba mremboKwanini nizimie?
Mmh! Haya mambo umeanza lini?
Nilishiba sana mbonaSii unakuwa hujashiba mrembo
Wewe na lizzy mnakula kidogo kiustaarabu yaani mie sasaNilishiba sana mbona

napenda kula mnooJana usiku nilitaka nisile basi tu nikawa nimelazimishwa😂Wewe na lizzy mnakula kidogo kiustaarabu yaani mie sasanapenda kula mnoo
Dah🙆Umeondoka tena au
Mmh! Haya mambo umeanza lini?
Eeeh??
Kuna muda ukifika kuna vitu vinabadilika tu mpendwa..

Nimeona 🥰Saint Anne naifutaaa