mtoto mzuri
mahondaw nimekumiss
Katika vitu mungu alikupendelea ni midomo yako, una tumidomo tuzuri sana..
Halafu rangi sasa, uwiiii, mtoto unawaka kama almasi..
Kifuani hapo ngoja nikae kimya, kuna picha yako moja niliiona mhhh.. Uko vizuri mrembo,
Mwisho kabisa ni suala zima la mzigo.. mzigo upo wa kutosha.
Nakupa 4.9 out of 5 hio 0.1 nimebakiza siku nikisikia sauti.