Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Asante mkuu...nilitarajia kuona vyupa vyupa vyenye maji ya gold!
Nipo dodoma karibu baadae bambalaga…![]()
Nipo dodoma karibu baadae bambalaga…![]()
Imenipita sijaiona 😊Hii ya muda kidogo kabla sijazikata
Asante mkuu...nilitarajia kuona vyupa vyupa vyenye maji ya gold!

Wewe yako iko wapi?Imenipita sijaiona![]()
Boss ledii huyoooJuzi jana leo Kesho na hata milele!
![]()





Ipo juu hapo umelike kabisa mkuuWewe yako iko wapi?
Bado nipo Katika Ramadhan asee!Boss ledii huyooo
Tumemaliza Kwaresma
Tubariki![]()
OhHii ya muda kidogo kabla sijazikata

Rafiki shukrani sana na kwako pia.Niwatakie kheri ya pasaka in advance marafiki zangu wapendwa..
Mungu awabariki sana…
Hahahaha.... dakika chache nimalizie kupika hapa!
Kwa heshima ya Pasaka
Tubariki
Nywele zako nzuri zimejaa...suka suka kwanza usiweke dawa nahisi utaziharibuOh
Mimi bado natangatanga
Sielewi nikate kama wewe au niweke curly kama walivyonishauri
Wewe yako iko wapi?
Ile umejificha sana bwana, eka basi nyingineIpo juu hapo umelike kabisa mkuu
Nimemuomba nyingine ile kajificha sanaAlituma angalia huko juu!
akituma nitag😜😘Nimemuomba nyingine ile kajificha sana
Poa poaakituma nitag![]()