Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,364
Nkamu naona unaendelea kuninyanyasa[emoji2][emoji1][emoji1] Hizo siku nyingine.
Mfano hapo nilikuwa shambani napalilia zangu Mahindi, nashangaa inapita juu ya kichwa Cha Mzee miye, kweli hatuna jinsi Wacha tufanye kazi tu ๐คช๐คชHata tuliolala tutaamka tu kwa sababu hakuna namna. Nikutakie pasaka njema "mzee" mwenzangu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2189467
Jana kajua kutuchomesha mahindi hadi yameunguaNdugu yangu[mention]Wigelekelo [/mention] jana ukanilaza mlango wazi nimesubiri bila mafanikio[emoji2]
Ha ha ha ha ha ha!!!!Nkamu naona unaendelea kuninyanyasa[emoji2]
Jana kajua kutuchomesha mahindi hadi yameungua
Nipo my dear๐Haswaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23]
Upo dea.
View attachment 2189450
Hello Saturday [emoji485]
Miss u moaaah.Nipo my dear[emoji7]
Naona unaendeleza manyanyaso dhidi yangu nkamu๐Ha ha ha ha ha ha!!!!
We ndugu yangu siwezi kukunyanyasa kabisa.
[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
@WigelekeloLeo inabidi atupooze kwa mbili..
Miss u moaaah.
Unajua mambo ya kufanya kazi na Wakoloni hayo. Pamoja na kutufundisha kazi ya Umesenja, na uvaaji walikuwa wanatufundisha hasa ikitokea Kuna sherehe nyumbani Kwa Malikia ๐๐คช๐๐Babu unanyuka kushinda vijana..[emoji2]
[emoji3059][emoji3059][emoji3059]Mimi more hanii[emoji8][emoji8]