Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Una maakili mengi sana we mtoto wa Tanga.. hata nikiambiwa niangamize dunia yote kwa ajiri yako nawezaJamaniii yamekuwa hayo kipenzi ππΎππ
Kuingilia uhuru wa mtu ni mbaya sana nimeacha uamini kile ambacho unaona ni sahihiπ
Ya kweli hayo π¬π¬Una maakili mengi sana we mtoto wa Tanga.. hata nikiambiwa niangamize dunia yote kwa ajiri yako naweza
Niambie lolote utakalo genious wangu wa duniaYa kweli hayo π¬π¬
Harufu ya manukatoYa kweli hayo π¬π¬
Nilitaka kukwambia kitu au basi Wewe si umeandika huna dini π¬Niambie lolote utakalo genious wangu wa dunia
Naahidi nitakuwa na wewe daimaYa kweli hayo π¬π¬
hahahaha.nije wapi?Njoo nikueleweshe vizuri
kweli mie sina dini, ila hilo alio ondoi kuku sport genious wangu wa mbinguni na dunianiNilitaka kukwambia kitu au basi Wewe si umeandika huna dini π¬
Kwa comment hii najipa moyo kumbe sijaachwa π¬Harufu ya manukato
Iko sambamba na urembo wa sura yako
Mabusu ya midomo yako
Ni ishara ya upendo toka moyoni mwako
Kwa siku zote π¬hahahaha.nije wapi?
So lemi just sayKwa comment hii najipa moyo kumbe sijaachwa π¬
hata malaika wataandamana nikikuacha... ila naona kama unachepuka na mjeda mtu chake .. mnapanga kukutana kule kule kwa juzi.. au basiKwa comment hii najipa moyo kumbe sijaachwa π¬
NiDah [emoji848]kama ni kweli nimesikitika sana
Yaani umenichekesha hapa nilipoπππhata malaika wataandamana nikikuacha... ila naona kama unachepuka na mjeda mtu chake .. mnapanga kukutana kule kule kwa juzi.. au basi
Tenamlaji wa hiyo nyama anafaidi dah
Hapa tuMercy and Grace will not be Available
When the Saints have gone
Repentance is now
When the Saints are still around
Repentance is now
When the Saints are still in the World
This is the time to Serve him
In Truth and in Spirit
Be conscious of Eternity
Donβt live your life anyhow
Heaven is real, hell is real
Come to Jesus Today
Ujauzito gani mkuu wako auπ€?Ni
Kwa sababu
Anakupenda sana
Tatizo huo ujauzito
Unamtatiza
roho inaumaaa.. dah basi usichepuke sana sasa kama mimi.. kidogo tu utamu ubakie wasimalizeYaani umenichekesha hapa nilipoπππ
Acha wivu kipenzi mbona nawe unachepuka na naniii na siongei πππ