Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,364
HakikaOoh sawa
Wengine kwenye biashara wanaweka vitu ovyo tu ndo maana wengine wanaenda supermarket au mini shops hizi .
Leo unajua lugha ya malkia ?Naked
Ya kuitwa majina ya hovyo hovyo [emoji51][emoji51][emoji51]Kazi gani hiyo profesa?
Saa 8 niko zangu geti la IAA 😎Kesho mapema church pananihusu.
Kulala hapa bado, had kuanzia saa 6 hivi😃
Jina gani la hovyo boss mkuu??Ya kuitwa majina ya hovyo hovyo [emoji51][emoji51][emoji51]
MimiShule yenyewe sikwenda akiyanani
Hebu fafanua kwa faida ya sisi fom tuu
Nifananulie basi ulichoandikaMimi
Nimeishia la pili
Kule ng'wa usheke plaimali
Ni njia nzuri ya kuimarisha immune system. Unafikiri mdudu Covid ameshindwa kuwasha moto Afrika kwa sababu gani? Watu wana immune system ulinzi wa Fortnox cha mtoto [emoji16][emoji16]Hakika
Sasa na nzi walivyozagaa kipindi hiki mtu anaweka weka tu aisee..wanaonunua pale wana moyo
Alishaokoka.
NdiyoUkamuamini
Hakika
Sasa na nzi walivyozagaa kipindi hiki mtu anaweka weka tu aisee..wanaonunua pale wana moyo
Kumbe!Ni njia nzuri ya kuimarisha immune system. Unafikiri mdudu Covid ameshindwa kuwasha moto Afrika kwa sababu gani? Watu wana immune system ulinzi wa Fortnox cha mtoto [emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787]Naipenda hiyo nyimbo
Kuna namna uwa inavutwaa
Umesisimka na nini?
BosiJina gani la hovyo boss mkuu??
Nimejikuta tuLeo unajua lugha ya malkia ?
Sijui kwa kweliNimejikuta tu
Nikaandika
Maana yake nini eti[emoji848]
[emoji1787][emoji1787]Ni njia nzuri ya kuimarisha immune system. Unafikiri mdudu Covid ameshindwa kuwasha moto Afrika kwa sababu gani? Watu wana immune system ulinzi wa Fortnox cha mtoto [emoji16][emoji16]
😁Dah wana moyo aisee ..Huyo angekuwa na genge ingekuwa balaa hapo
Sema unachoona wewe hakifai wengine wanakipenda .. dunia hii ndo ilivyo .
[emoji120]Asiii
Asilegee moyo weeee
Asitokwe machozi
Aki…Akimkumbuka Munguwe kwa yakeee makombozi
Lenie kesho ibada saa 9, sasa ulale [emoji16]