Ooh okay nimekumbuka siku ya kwanza kuingia mule nilingia kwa woga ... nilikuwa kafupi ikabidi niingie na mbaba mmoja hivi pale getini hata simfahamu namfuata nyuma tu