Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Na wewe ndo ungesababisha kabisaa!
Kuna kitu kimoja huwa hamshtukagi, mwanamke hawezi kutupia pic zake mfululizo vile tena kwa jeuri kabisaa!!
Ila aliwajibu wanaume kwa makopa meeengiii, ajabu akawa anatuchunia sisi wa kike!
Angalia Post no 17513 DadaWewe uligundua kaka?!
Mbona kama ulishindwa kuangalia mpira kabisaa jamani
Sasa yule nae anaweza kua mshindi ukakuta ni njemba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna bana wale wanajulikana nje ya JF kabisaa
Umeanza lini kutoboka mashavu etiView attachment 1249798
[emoji870]
Habari yako MkuuNimeona aisee. Lazma tutambiane tujue nani mzuri, nani ana shape, nani ana tako, nani handsome, nani ana saa kali, nani ana simu kali, nani ana geto/nyumba kali na nani mwenye lifestyle nzuri ilojaa good time.
People are so desperate for acceptance and belonging hawawezi hata kunavigate JF alone and independently, wakishajuana kwa sneak peeks unawakuta kwenye nyuzi nyingine wakichangia ki team.
But again, for each his own. Binafsi naipenda hii semi anonymity ya JF kwasababu inaniwezesha kuwa objective pale ninaposoma watu na kujudge maandiko yao tu bila kuwa na bias kwasababu ya traits zao nyingine which would have been the case kama nawafahamu.
Hii anonymity inakuwezesha kujenga mental image ya ID ya mtu simply based on the writings bila kuwa corrupted na external factors. Pia inawezesha wale ambao hizo social external factors zingewasababishia wawe considered second grade citizen na maoni yao kudharauliwa as it is in the real world, ila huku bias hio haipo.
Any one who does not wish to lose the gift of objectiveness inayoletwa na anonymity ya JF hatokuwa makini sana na huu uzi.
Zimefanyaje Zakayo?Nyusi kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule ndio basi tena..tayari tushampoteza
😂😂😂😂 sikuhizi nikicheka nakuwa hivyo. Hiyo yote ni kukosa helaUmeanza lini kutoboka mashavu eti
Ngoja niandae t shirts za kuvaa kwenye hiyo kampeniPopote tutakapomuona tunamdai
Nzuri sana mkuu...Zimefanyaje Zakayo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuhizi nikicheka nakuwa hivyo. Hiyo yote ni kukosa hela
Tuko pamoja mkuuNgoja niandae t shirts za kuvaa kwenye hiyo kampeni
Dont tell me that my guess was right. Kuwa na amani mkuu wangu Khantwe. Mimi na wewe hatufahamiani nje ya hapa. Nilifanya kubahatisha tu jina lako na sikutegemea iwe kweli.Ambayo tunafahamiana
Acha uoga mkuuHahahahahaha
Sitaki uchochezi wakoo bana
Hebu ilete hapa, usimalize bando langu na kurudi rivasiAngalia Post no 17513 Dada
InawezekanaMayai kila siku labda kutwa mara 4
Kumbe katoto kadogo hivi, haya nipe shikamoo yangu haraka.Mimi nilikuwa admitted 2011 pale Mzumbe University.
Course BPM
Hall of Residence : Vikenge vya karibu na Library
Maeneo ya kujidai nikiwa chuo : Changarawe.
Current location : Dallas Texas US
Occupation : SS
No problemThanks. Typing error autocorrection hiyo Mkuu