Yan nisingetonywa hii ilikuwa ishanipita
Samahani siombi, ila nitoe tu pole kwa wewe ku over judge!!
Picha zako nazoonaga hapa macho yangu yanaonaga kama mwarabu/ mpemba.
Ya jana ikawa tofauti ndio maana nikauliza wewe ni yule au ni huyu.
Baadae nikaona utapata shida kunielewa ndio maana nikafuta
Pole but not sorry