Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

photoCollageMaker_20220412_145820878.jpg
 
View attachment 2184857
Palipo na Wazee hakuharibiki Jambo, Nimejitolea kwenda Kiev kuwa mpatanishi wa hawa Wababe wa Vita, haiwezekani kwa Vita yao Sisi Bei ya Petrol/Diesel [emoji618] zipande hadi kufikia 3,005/Lita huku Kijijini kwetu Namanyele.

Na Kwa taarifa za Chinichini hata Wajukuu zetu hiyo Mei Mosi hawatapata ongezeko Kwasababu ya Vita hii [emoji22][emoji2957][emoji2957]
Nimehisi tu

Mlinzi wa #1

Dom Dar daily[emoji1787]
 
Back
Top Bottom