Emu taja herufi z mwisho za CO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] mie ndo maan sitaki kufungua ID ingne naona nitabambwaa ktk kichwa cha post tyuuh, kabla ya maelezo enyewe. Uwiiiiiih
Nambie
NikuoneNambie
Nipo..mambo vipi???
Ngoja niendeTayari nshakutag huko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudisha picha uliyofuta[emoji1787]Nyau wewe [emoji1787][emoji1787]
Watu wameamua kushindikanika kwao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AbeeDah 🤣🤣🤣
Ni kule tunakotakiwa kuchekecha akili kuijua ID kongwe?
Ahsante rafiki na kwako pia.
Hapa tuliopoa Kwa kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama siyo mnyakyusa vile[emoji23][emoji23]
Au umechanganya kidogo nkamu?
Najaribu kupunguza
Leo asbh wakati navua soksi nimehisi ulaini kwenye nyayo [emoji1787]nimehamasika sana
Siku hizi watu wapo siriazi na kutokupekua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli kwenye lips na shingo [emoji3059]
Happy Yuda’s week to all snitches out there…
Aluta continue [emoji2224][emoji1787]
Hebu kwanza nitagini na Mimi
Umbea unaendelea hapa mjini na hamsemi