Selfika na JF: Snap it. Show it

Shindwaaa
Unataka uniingize kwenye mnyonyoro wa Yuda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi unamtafutia nini? Badala hata umuulizie yule wa pombe.
Na kuna juzi kati nili hang nae sana hapa [emoji2224][emoji2224]
Utajua hujui
Heee [emoji23]
Yaani napitwa bila kujua???

We subiri ngoja niendelee kuangalia [emoji23]
Usinipe assignment ingine wakati niliyojipa sijaimaliza.

Kwenye uyuda uingie mara ngapi sasa mdogo wetu?[emoji1787]
 
Shindwaaa
Unataka uniingize kwenye mnyonyoro wa Yuda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi unamtafutia nini? Badala hata umuulizie yule wa pombe.
Na kuna juzi kati nili hang nae sana hapa [emoji2224][emoji2224]
Utajua hujui
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mbna yule anajulikana? Si jina linaanzia na "CO" hahahahah mambo pambeeeeeh.
Jamani dogo unanivuruga 🤣
Nilisoma ule uzi nikiwa na usingizi, sikumbuki hata usernames

CO ndio mshalidadavua? Au wajuba waliyamwaga katikati ya comments?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…