Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Nimepitwa na kitu mkurugenzi?Leo skuna ingine[emoji3059][emoji3059]
Tunaoteseka ni sisi tusio na skuna.
Kuna mtu unamnyong'onyeza hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787]Kaka? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Haya bana. Ngoja niendelee kupumzika hapa bustanini huku nikila nyimbo za Abiudi kwa raha zangu [emoji16]
View attachment 2184412
Kabisa[emoji1787]Afadhali uniite tu mkuu au mpendwa katika Kristo kuliko kuniita kaka [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Masihara[emoji1787]Serious?
Nilitaka kukuitapendwa nikaogopa!
Sawa mpendwa[emoji3]
BTW,kaka ina shida gani?
Nitamthibitishia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😘😘😘Sijaona mie mbna eti wee maadam wa kemiaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kisa vocha[emoji28][emoji28][emoji28]Mie nipoooo mbna lect, wee ndo umepotea kisa vocha, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Niliona napata wenge nikalala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sauna tena? Ughonege
Ulipitwa mkuuNimepitwa na kitu mkurugenzi?
Skuna...
Mikono....
Vidole....
Uzi huu yaani. Mtu ukitoka tu watu hata usiowategemea ndo wanaamua kuselfika halafu ukirudi unakuta manyoya...
Inaudhi [emoji3581]
Inakera [emoji3581]
Inakasirisha [emoji3581]
Inaleta steresi [emoji3581]
Kweli una millioni??Nitamthibitishia
Milioni moja
Taslimu
Akiweka ya hivyo
Hakika
AminZaburi 121:8
BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
Nijibuje hapo! Mimi mkaldayo..Zaburi 121:8
BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
haha eti mkaldayoNijibuje hapo! Mimi mkaldayo..