Daddy naona hata na wewe hunisalimii.Binti yangu....halooo! [emoji870][emoji870][emoji870]
Za kupotea? Daddy wako umenitupa waja hapa hata hunisalimii [emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijaona mie.Kwamba dogo hujaona vyombo hapo mezani au dharau?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rangi nzuri sanaa. Imetulia mnoo.Satini hii mdogo etu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi na kijani damu damuRangi nzuri sanaa. Imetulia mnoo.
Kwamba yudizim wanawafundisha watoto kibri!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijaona mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo,Amekuwa mswahili kama wa buza bwana
Kumbe kijana wa yudizim
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ila JF bhana, watu wanavamia na pasipohusika, nimeona hapo Muhaya kakuibukia.Mdogo etu watu wamenivamia kwenye picha yangu ya satini nikiwa geto[emoji23][emoji23][emoji23]
Umejitahidi. Umefit in vizuri sanaMara moja moja siyo mbaya...ningekuwa ni Mhaya ningeongezea na ndinga kali na pisi ya kueleweka....Hiyo tu nimehangaika kuandika naandika nafuta naandika nafuta. Kweli kila mtu na fani yake [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi siwezi kuingilia ugomvi wa Wakurugenzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiniita mkurugenzi tena nahama JF mazima mpaka Mama Mchungaji aingilie kati [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume hapana kwa kweli, ukiona weekends wazee wanavochukua totoz za chuo hadi unashangaa,Aisee usinitishe. Wiki jana jamaa mmoja ndugu yetu kafia kwenye mizagamuo...55+ kajifanya kuzagamua na kabinti ka chuo kwa kuboost na Redbull sijui na majitu gani aaa wapi. Ninapoandika hapa si ajabu tayari keshaoza huko aliko. Niko mwangalifu sana mjukuu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] leo ktk uzi wa siasa nusu nipigwe Ban, kule watu wanakera sana aaaah.Mimi na kijani damu damu
CCM mbele kwa mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hallelujahKwamba yudizim wanawafundisha watoto kibri!?
Huoni bia hiyo kwenye kopo[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niite mkurugenzi tena consistently tuone [emoji16][emoji16][emoji16]Ondoka tuone
Mfungo unaendeleaje mpendwa?
Aaaa wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
Unaendelea vizuriMfungo unaendeleaje mpendwa?
Daddy naona hata na wewe hunisalimii.
Inaleta raha sana daddy kumuulizia bintiye pindi anapomkosa nyumbani.
Maisha yanauvuruga ubongo wangu sana ndo mana napotea potea