spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,530
Kumbe nililikeKaona huyo anakusanifu tu. Amelaiki fasta halafu akaanza kulalamika sijui swaumu nini...
Naona mtandio umemharibia swaumu yake. Alikuwa anafikiri Boss Lady ni wa mchezo mchezo? Mwache apambane na hali yake![]()




Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app


