Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Vile watuwanavogombania vocha inaleta burudani fulani hivi tofauti na kutuma pm!! Ni kama kucheza gemu [emoji847]
Habari za uzima msukuma!! Naona ulikosa mtandio ukasusa [emoji12][emoji12]!!
Nimekuelewa Boss Lady...

Ndiyo. Tumetoka mbali sana. Sasa siku ile nimepigania mtandio mpaka kichwa kikaniuma dah! Basi nimeona isiwe shida Boss Lady.

Kwani mtandio bado upo? [emoji15]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
mchochezi__wa__instar~p~CcMx2FFK1zP~1.jpg
 
Back
Top Bottom