Tusubirie sasa top ten najua uhakika wa wewe kuingia ni mkubwa sana!!
Baada ya yule dume kutolewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niliona ila nilikuwa na wenge la usingizi kwahiyo nikawa napita kwenye likes tu kama mkuu mkwepu jr
Nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]naona umeamua kunitukana sasa
Why my dear!!It's hard to believe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa aliniumiza na yale mapozi ya kusimama jamaniii....
Nifundishe basi jamani wewe eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah top ten upoo
Why my dear!!
Jamaani[emoji2][emoji2][emoji2296][emoji2296]mie nayatolea wapi dada??
Cha biasharaUlimaliza chuo gani kwani??
EwaaaaaEti eeh, kwahiyo kuna uhakika wa mimi kupata vile vinywaji nilivyoviorodhesha kutoka kwa Hazard CFC?
Jamaani
Wewe unayajua bana...
Kila nikijaribu yanatokea matege
Cha biashara
Ewaaaaa
Ila usinisahu jamani dadako
Mkuu tupia picha full basi 😂😂[emoji23][emoji23]nambie mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa wewe haupendi matege?? Jamani kweli binadamu tunatofautiana wengine tunayatamani wengine hamtaki yaonekane?? Nimefadhaika sana mimi jamani[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ndio mdogo wangu!Wewe si huwa hautumii divai na vileo dada??
Hii mbona kama interview Mkuu?!CBE?