Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,766
Mi la kwanza kanitoboa mdogo angu na sindano tu nyumbani,ila la pili nilitobolewa na muuza urembo ndio!Hujakosea sana [emoji23]
Ila yule kaka nilikuwa simuelewi kabisa
Hawa wauza urembo sio wote wanajua kutoboa
Nitaenda kwa sonara siku ikifika
Hakika utapata nzuri paleOh sawa
Ngoja ntajaribu na Mimi kununua[emoji23]
Skuna day ilishapita[emoji3]nasubiri
Accessories day. ...
Wale tunaopenda heleni,Cheni,bracelate nk
Nawatamani sema ndo siwezi kuvaa [emoji17].
Mi la kwanza kanitoboa mdogo angu na sindano tu nyumbani,ila la pili nilitobolewa na muuza urembo ndio!
Ni mkaka alikuwa anapita tu,wala sikupata shida!
[emoji3]acha uoga,nilijua tu we muoga
Sijatoboa last time ilikuwa nitoboe nikaghairi
Wengine wana mikono mibaya nasikia .
Napenda nahisi muda ukifika nitatoboa ..Hupendi au allergy?
Shangaziiiiii [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Oh sawa
Ngoja ntajaribu na Mimi kununua[emoji23]
Wow , hereni zinavutia mnoNenda kwa sonara,mimi nimetoboa matano[emoji85][emoji2]napenda urembo kushinda kula..
Napenda nahisi muda ukifika nitatoboa ..
mambo ni safii sana Shangaziiiiii, weekend nzuri kabisaMjombaa,mambozz?
Wow , hereni zinavutia mno
Huwa unavaa ngapi kwa siku ?
Nitaenda aisee
Ukoo mzima sijatoboa mimi tu .
mambo ni safii sana Shangaziiiiii, weekend nzuri kabisa
Anha vyemaNimevaa hereni tatu ambazo ndio sibadilishi ila tobo moja ndio nabadili lingine halina hereni..
Hivi inawezekana hii kitu, nina matobo mawili la kwanza nilitoboa na sindano ya kawaida nyumbani nilipona mapema. Tobo la mara ya pili ilikua mtihan nilitoboa kwa sonara niliteseka zaidi ya mwezi haliponi ila badae likakaa sawa.Sijatoboa last time ilikuwa nitoboe nikaghairi
Wengine wana mikono mibaya nasikia .
Hivi inawezekana hii kitu, nina matobo mawili la kwanza nilitoboa na sindano ya kawaida nyumbani nilipona mapema. Tobo la mara ya pili ilikua mtihan nilitoboa kwa sonara niliteseka zaidi ya mwezi haliponi ila badae likakaa sawa.
Kwa sasa yamepona yote ila la pili sijui kwa nini lilisumbua vile lilikua linakauka kwa nje ila ndani kidonda kibichi. Niliteseka ilibaki kidogo niliache tu lizibe lkn nilikomaa nalo likaja likapona kabisa.Aisee hapo nazidi kuogopa [emoji23][emoji23]
Mwezi halikupona weh .. tundu la kwanza ulilotobolewa nyumbani lenyewe lipo sawa ?
Anha vyema
Hereni nzuri sana ukivaa sura inazidi kupendeza
Ndiyo[emoji846]Na wewe hujatoboa?