Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,358
Nasubiri[emoji2095][emoji2095] sawa
Hatari bro wanahihop sa hv hawana thamani kama kipindi hiko real hiphop inafanyika[emoji3][emoji3][emoji3] Sasa hivi maisha yamebadirika sanaaaa mkuu
Kama huu wa Leo Kwa kweli ni mzuri sanaHana mambo mengi jamaa, nyimbo zake angalau unaweza sikiliza wazazi wamekaa pembeni
πππ Sasa hivi kuna soft hip hop na ni kwa dunia nzima hii.. watu sasa hivi wanataka pesa tuuu... hata Arusha sasa hivi wana ramba midomo tuHatari bro wanahihop sa hv hawana thamani kama kipindi hiko real hiphop inafanyika
Hivi mazee unamfahamu huyo Chief Rhymson ambaye ametajwa humu ???
Shangazi inabidi siku moja tukutane beach tuchaneee mistari π¬π¬π¬π¬..Member wa kwanza unit...
Kheeeh, Dopa Man π€£
Mkuu umefuta Nini sijaona[emoji19]Hatari bro wanahihop sa hv hawana thamani kama kipindi hiko real hiphop inafanyika
ππππ mzee wa baba ubayaaKheeeh, Dopa Man π€£
Kumbe unamnyaka, wewe hatari...Member wa kwanza unit...
Asante [emoji847], huu ngoja kesho nikitulia niupitieNasubiri
Afu Uzi wa akina Junia huu hapa[emoji23]
Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister
Last Jumamosi nilipata mualiko kumtembelea Sister Home kwake Mikocheni. Nilienda na Mke Wangu na Mtoto wetu mmoja wa miaka 4.5 Saa nne tulikuwa tumefika home maana tuliambiwa siku hiyo hata kinywa tukafungulie pale na jioni tukifungie pale pale. Waswahili wanasema mtu hakatai wito. Sister ana...www.jamiiforums.com
sophy27
Yah Kiba anajuaKama huu wa Leo Kwa kweli ni mzuri sana
Una mafundisho pia
Kuna namna unagusa moyo aisee.
Huwa namkubali mwamba ..namwita mwanamuziki na si msanii kama akina Diamond.
Sa hv pesa mbele mengine baadae[emoji1][emoji1][emoji1] Sasa hivi kuna soft hip hop na ni kwa dunia nzima hii.. watu sasa hivi wanataka pesa tuuu... hata Arusha sasa hivi wana ramba midomo tu
Shangazi inabidi siku moja tukutane beach tuchaneee mistari [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]..
Asije akawa ni Da Joh.. ( just funKumbe unamnyaka, wewe hatari...
Kumbe unamnyaka, wewe hatari...
ππππ mapafu hayataki kazi nzito tena..Nilikua rapper wa shule enzi zangu acha kabisa hadi studio nimeingia[emoji2][emoji2] kweli itabidi twende beach sijui kama mapafu ninayo tena na uzee huu[emoji2][emoji2]
Sasa hivi pesa mbelee.. ujumbe fata kanisani au kwa masjid πππSa hv pesa mbele mengine baadae
Sure akishaingiza pesa yake basi yeye amemalizaSasa hivi pesa mbelee.. ujumbe fata kanisani au kwa masjid [emoji1][emoji1][emoji1]