Ni tatizo kila mahali. Huwa naangalia kipindi cha Air Disasters. Ajali nyingi tu zinasababishwa na marubani kutegemea sana automation. Kukiwa na dharura ya kweli au hiyo automated system ikikorofisha wanakuwa hawajui la kufanya.
Halafu nilikokuwa naenda kuna mchongo wa hela aisee. Sasa nikizikosa hizo hela sababu ya huu mtandio lawama zote nitakubebesha wewe. Ila kuondoka siondoki mpaka nione mtandio mimi.