Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,330
Kumbe hadi meno mazuri jamani aaw[emoji3059]Hii niliona shida kukenua
View attachment 2179383
Kabisa, playlist lazima iwe ndefu ili usikilize nyingi tofautiZa saiv ukiskiliza mara 2 zishaboa
Mchongo ndioπ€£Nimeshangaa eti anasema ukimwi unaua.. kwa malaria ina ponyaaa.. ππππ alafu naona ukimwi ni mchongo flani hivi wazungu wawapige pesa
Kuna dhambi sana dar es salaam.. kwaiyo Bwana Mwenyewe anafanya Testing ya moto jotoo.. πππ raia waanze kuzoea zoeaπππππ
Ila leo jua lilikua kali sana ujue, bora jion imefika joto limepoa.
[emoji4][emoji2956]Hii niliona shida kukenua
View attachment 2179383
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu Junia ni wa kumfundisha nafasi ikipatika, napo Mama yake asiwepo
ππππππAnne..I can't youKumbe hadi meno mazuri jamani aaw[emoji3059]
Nimemwambia, yaan huyu sjui yupoje anapenda sana kumchokoza babu yetuMwambie amuache babu yetu, babu yuko shamba. Busy na kilimo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji847][emoji847][emoji847]Kumbe hadi meno mazuri jamani aaw[emoji3059]
Jamani jamaniShimba Ya Buyenze uko wapi kuna ya mtandio hukuuuuu[emoji2960]!
Raia zenyew zinaskia basi?Kuna dhambi sana dar es salaam.. kwaiyo Bwana Mwenyewe anafanya Testing ya moto jotoo.. πππ raia waanze kuzoea zoea
Inabidi kuwafundisha hawa, kuna mmoja wa leo ntamtafutia mida nimuelezee tena yeye ni mkubwa wa form one lakini akili za kina junia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muache junia jamani
Ndo alivyo
ππππ Akili si ndio imefunguka.. acha team dry tuendelee kujipongeza kwa kungua huu mchongo wa hawa mabeberu.. lazima tuishi na kufaidi uumbaji bwanaMchongo ndioπ€£
Wazungu matapeli ulikua hujawashtukia kumbe?
Wanatuonea wivuuu
Hatari sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anne..I can't you
πππ.. raia wametoboka.. hawasikii ila dar joto naona la kawaida.. na ndio linafaa kwa mitanangeee sasaRaia zenyew zinaskia basi?
Zishapinda kitambo hazina muda wa kujirekebisha yaani tabu tupu
Waliniweka chini ya ulinzi km nusu saa hivi,ikapigwa simu Kama najulikana mle ndani au ni mamluki[emoji28]Hahaa walikufanyaje mkuu [emoji2][emoji2]
Sasa hivi wanaimba imba ovyoo ovyoo ilo watu wacheze ovyo ovyoo.. ila ndio dunia nayo inataka hivyoHuwa haziboi kama za sasa hivi
Haya sasa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Saint Anne njoo unirekebishe vizuri hapa beganiView attachment 2179389