Muacheee babu yetuππImeisha hiyooo... babuu wa kujiongezaaa πππππ
Hebu tupia sasa na lile guu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani Anne
Nimecheka mpaka binti yangu ananishangaa..Ila wewe[emoji119][emoji119]
Ndio nliweka MkuuHivi mkuu ushaweka yako?
Cha muhimu ni kufika salama tu nkamu. Mengine yote ni madogo [emoji1545][emoji1545]
Sasa hapo si mpka kuchambua huko kwenye mafile [emoji28]Mimi nina picha kama utitiri humu
Uwe tu mvivu kuangalia
Tatizo huwa sijilinganishi na mtu!!πZako sasa zinabalance equation vizuri
Si unajua kemia madam[emoji23][emoji23]
Tunapamba vilivyopambika tayari [emoji3059][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitengo unakutendea hakiiiii [emoji23]upambe kwakwenda mbeleee[emoji1787][emoji1787][emoji2960]!
Naomba uweke tena mkuuNdio nliweka Mkuu
Kila page zipoSasa hapo si mpka kuchambua huko kwenye mafile [emoji28]
Yeah [emoji846][emoji846]12 Gauge?
Hahahaaa..... for you msukuma ngoja niangalie angalie tatizo sijapiga mpya msukuma!!Haya bana [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hata sisi hatujakulinganisha ndo maana tunasema wewe ni wa pekee [emoji3059][emoji847]Tatizo huwa sijilinganishi na mtu!![emoji849]
Avatar yako kibokoHahahaaa..... for you msukuma ngoja niangalie angalie tatizo sijapiga mpya msukuma!!
Ungeweka jina la wimbo na msanii niingie chimbo ππNiwekee nyimbo ya mchizi mox,hadithi na Ngoma ya Saigon 'niaze na kibongo bongo au kinyamwezi'
Hizi nyimbo nazitafuta sn sijazipata
Hapa nipo maeneo naitafuta Dar es Salaam.. πππMuacheee babu yetuππ
Hizo old school unaziskilizia mitaa ya wapi
Mambo ni mazitokwakweli [emoji23][emoji23]
Hii hapa MkuuNaomba uweke tena mkuu