Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,563
- 235,337
Dom ni masaa 7 hadi 8Lipo slow sana Nkamu tumeondoka Dar saa nne ila mpaka sa hivi hata Gairo hatujafika
Mnaumia au mnafurahi?Tunaoumia ni sisi
InategemeaMnaumia au mnafurahi?
Inategemea nini mkuu?Inategemea
Shangazi asante asante shangazi nimeona nimeona ππMjomba na wewe kumbe unasikiliza hip hop
Wenzetu wanavyofaidi vitu vizuri, tunaishia kuona tu πππInategemea nini mkuu?
Upo safarini kumbe, mfike salama aisee[emoji120][emoji120][emoji120][emoji23]Lipo slow sana Nkamu tumeondoka Dar saa nne ila mpaka sa hivi hata Gairo hatujafika
Ndio ule mtetemeko eeh.. fala sana weweee ππππππ€£ hadi simu imenidondoka
Wakwanza kuiona pongezi mno kwa majaliwa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]8
Shepu letu matataπ₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°
Lakini yapo!Jina gumu nikadhani nitakuta kitu cha scania [emoji1787]
Na wewe unatafuta tu mkuu..Wenzetu wanavyofaidi vitu vizuri, tunaishia kuona tu πππ
kwanini wamecheka.. umesiki mkono wa producer ππNimeplay ya pili kuna watu wamecheka hapa π€£π€£π€£π€£π€£
πππππNa wewe unatafuta tu mkuu..
Pole, hilo ni kwa watu wanaopenda Luxury na hawana haraka[emoji28]...Lipo slow sana Nkamu tumeondoka Dar saa nne ila mpaka sa hivi hata Gairo hatujafika
Dom ni masaa 7 hadi 8
Kawaida [emoji3059]
Upo safarini kumbe, mfike salama aisee[emoji120][emoji120][emoji120][emoji23]