Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,380
π€£π€£π€£π€£π€£Hehhehehhee maendeleo Uyole
Woyooooπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kumbe Nina kucha nzuri eeh??Mbona husemi siku zoteπ€£ππππππππππ
Zilikuwa zangu.
π€£π€£π€£π€£π€£
Nikifanikiwa kuwa na miguu iliyotunzwa kama ya Nkamu aisee mtanikoma na selfie za miguuππππ
[emoji1787][emoji1787]Weee tuliaaa
Nishaanza kujikandika parachute π€£π€£Na sisi tutakuwa tumekaa tu tunakusubiri ufanikiwe ututese?
Wivuuuuuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πSio nzuri kivileeeeeee
Mtembeo mning'inioNilivyo ngongoti virefu havinifai[emoji23]View attachment 2178291
Shangaziiiii tupia basi
Sijui watu wanabandikaje kucha aisee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2178337
Nishaanza kujikandika parachute π€£π€£
Shangazi dah! haya sikuwa na bahati basi na selfi yako wacha nilaleMbona nilishatupia mjomba[emoji2]
Mimi kutengeneza siweziπMimi nimetengeneza ya kwangu ya nazi og
Yaani hawa wapenda heels wa humu karibu wote ni mangongoti. Aisee mnanogaga sana mkigonga mabaibui yenu, trouser ndani na [emoji151][emoji151][emoji151][emoji151]
Pambana na hali yako. Hapa nateleeeza kama mlendaMimi kutengeneza siweziπ
[emoji1787]Ulishindikanika
Halafu mangingoti wengi ndio wanapenda heels
KwaniniKama Nsyuka yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekoma mimi,nimekoma sana ,nimekoma mimi.
Ila nimeiacha Moja..utukutu bado upo upo.
View attachment 2178327
Tutapambana tu na parachute kama Nkamu hafu tutaona nani mshindiπππPambana na hali yako. Hapa nateleeeza kama mlenda
[emoji1787][emoji1787]Nibandike?[emoji15][emoji15]
Kucha za kubandika siwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewahi bandika mara Moja tu,siku ya graduu..ilinitoa damu mguuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]