Chat na picha
πππ swalamaa kabisa mcute sanaaa Lenie habari ya weekendAbee, uhali gani baby wake mtu
Afadhali wewe unaonesha msimamo, ila tafadhali ukimchezea Mjukuu wangu nitakutumia MAMBA hata kama utakuwa bafuni unaoga atakuchukua na kukuleta huku Kijijini ujibu mashtaka π€ͺπ€ͺπ€ͺKu test mitambo tu hiyo.. nikitaka kujua kama inashika au lah.. kuhusu mie na Nuzulati ondoa shaka kila kitu ni sawa.. siwezi muachia mjukuu wako.. lazima niende nae.. Uledi mweu yule sema hamkugundua mapema πππ
Swalama Shangaziiiii Shangaziiiii habarinya weekend ShangaziiiiiMjomba salama?
ujue, umenushtua.Upogo??
Acha tu babu, nilikanyaga mdudu bahati mbaya nikajikuta sijui wapi huko.Have been looking at you bila mafanikio, nani alikuficha Mjukuu wangu lakini?
Hivi mnazungumzia kitu gani nyie watuπ¬π¬π‘Afadhali wewe unaonesha msimamo, ila tafadhali ukimchezea Mjukuu wangu nitakutumia MAMBA hata kama utakuwa bafuni unaoga atakuchukua na kukuleta huku Kijijini ujibu mashtaka π€ͺπ€ͺπ€ͺ
Kumbe Kuna wadudu ukikanya unapotea then unarudi baada ya muda, can't believe MjukuuπAcha tu babu, nilikanyaga mdudu bahati mbaya nikajikuta sijui wapi huko.
Ndio nimerud leo jion
Nimeshtuka pia kukuona,siku nyingi zimepita,u mzima?ujue, umenushtua.
Nimekumiss.
imeisha hiyoo πππAcha tu babu, nilikanyaga mdudu bahati mbaya nikajikuta sijui wapi huko.
Ndio nimerud leo jion
π€£π€£π€£π€£ mwenyew nilikua sijui eti, dunia hii acha tu babuKumbe Kuna wadudu ukikanya unapotea then unarudi baada ya muda, can't believe Mjukuuπ
Mzima wa afya.Nimeshtuka pia kukuona,siku nyingi zimepita,u mzima?
πππ Mamba tunakura utakuwa umetuna kitoweoAfadhali wewe unaonesha msimamo, ila tafadhali ukimchezea Mjukuu wangu nitakutumia MAMBA hata kama utakuwa bafuni unaoga atakuchukua na kukuleta huku Kijijini ujibu mashtaka π€ͺπ€ͺπ€ͺ
πππHivi mnazungumzia kitu gani nyie watuπ¬π¬π‘
Usijali, wewe tena[emoji7] siwezi kukusahau,,Mzima wa afya.
Sikukuu unikaribishe, usiache.
πππHivi mnazungumzia kitu gani nyie watuπ¬π¬π‘