Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Apr 6, 2022 #175,581 Strawbella said: na ukovaa heels mishipa inazidi kusimama ,tumshukuru mungu tunatembea tu.... Click to expand... Kwa kweli tunashukuru Mungu tuna miguu mizuri
Strawbella said: na ukovaa heels mishipa inazidi kusimama ,tumshukuru mungu tunatembea tu.... Click to expand... Kwa kweli tunashukuru Mungu tuna miguu mizuri
Strawbella JF-Expert Member Joined Mar 24, 2021 Posts 1,758 Reaction score 5,803 Apr 6, 2022 #175,582 Nash9 said: Stylish sio hapo juu unaweka na hii na sunglasses matata black Click to expand... Sunglasses lazima....
Nash9 said: Stylish sio hapo juu unaweka na hii na sunglasses matata black Click to expand... Sunglasses lazima....
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 6, 2022 #175,583 Strawbella said: View attachment 2177936 Miguu mirefu lakini myembamba... Click to expand...
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,696 Apr 6, 2022 #175,584 Tinsley said: Viatu vizuri sana rafiki Vipi habari ya huko ? Click to expand... Arusha ndiyo vitu vyao hivyo, nashukuru Mungu anasaidia, vipi wewe unaendeleaje za huko, vipi tupia basi nawe kamning'inio maana leo mmeamua kuja na mining'inio
Tinsley said: Viatu vizuri sana rafiki Vipi habari ya huko ? Click to expand... Arusha ndiyo vitu vyao hivyo, nashukuru Mungu anasaidia, vipi wewe unaendeleaje za huko, vipi tupia basi nawe kamning'inio maana leo mmeamua kuja na mining'inio
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Apr 6, 2022 #175,585 Strawbella said: Mimi mwenyewe nabeba mmasai Incase miguu ikaanza kukataa kusogea Click to expand... Na unaweza ukatoka zako huko una-swing vizuriiiiii; ghafla mbele za watu ndo heels zinataka kukufanya kitu mbaya jamani.
Strawbella said: Mimi mwenyewe nabeba mmasai Incase miguu ikaanza kukataa kusogea Click to expand... Na unaweza ukatoka zako huko una-swing vizuriiiiii; ghafla mbele za watu ndo heels zinataka kukufanya kitu mbaya jamani.
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Apr 6, 2022 #175,586 Heaven Sent said: Sasa Bora wewe unagonga nguo ndefu; wifi ako na hizi confidence kwenye hakuna. Godfidence indeed Click to expand... umetisha Mi fupi inategemea ni wapi! Ila Church no!
Heaven Sent said: Sasa Bora wewe unagonga nguo ndefu; wifi ako na hizi confidence kwenye hakuna. Godfidence indeed Click to expand... umetisha Mi fupi inategemea ni wapi! Ila Church no!
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Apr 6, 2022 #175,587 Strawbella said: Mimi mwenyewe nabeba mmasai Incase miguu ikaanza kukataa kusogea Click to expand... Kwa kweli kuvaa π kipaji mno miguu inauma jumlisha kiunoπ¬
Strawbella said: Mimi mwenyewe nabeba mmasai Incase miguu ikaanza kukataa kusogea Click to expand... Kwa kweli kuvaa π kipaji mno miguu inauma jumlisha kiunoπ¬
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Apr 6, 2022 #175,588 Heaven Sent said: Na unaweza ukatoka zako huko una-swing vizuriiiiii; ghafla mbele za watu ndo heels zinataka kukufanya kitu mbaya jamani. Click to expand... πππ
Heaven Sent said: Na unaweza ukatoka zako huko una-swing vizuriiiiii; ghafla mbele za watu ndo heels zinataka kukufanya kitu mbaya jamani. Click to expand... πππ
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,696 Apr 6, 2022 #175,589 Christine1 said: Hamna shidaaa,ila lzm tuvae tu hakuna namna Click to expand... Vina chagiza usmart
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,883 Reaction score 51,696 Apr 6, 2022 #175,590 Strawbella said: Sunglasses lazima.... Click to expand... Hebu tuone kwanza
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Apr 6, 2022 #175,591 Nash9 said: Vina chagiza usmart Click to expand... Ooh yes! Kwenye hili eneo kwakweli namshukuru Mungu!
Nash9 said: Vina chagiza usmart Click to expand... Ooh yes! Kwenye hili eneo kwakweli namshukuru Mungu!
Strawbella JF-Expert Member Joined Mar 24, 2021 Posts 1,758 Reaction score 5,803 Apr 6, 2022 #175,592 Heaven Sent said: Na unaweza ukatoka zako huko una-swing vizuriiiiii; ghafla mbele za watu ndo heels zinataka kukufanya kitu mbaya jamani. Click to expand... Uko zako kwenye harusi halafu ndio umebeba sahani ya msosi
Heaven Sent said: Na unaweza ukatoka zako huko una-swing vizuriiiiii; ghafla mbele za watu ndo heels zinataka kukufanya kitu mbaya jamani. Click to expand... Uko zako kwenye harusi halafu ndio umebeba sahani ya msosi
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Apr 6, 2022 #175,593 Christine1 said: umetisha Mi fupi inategemea ni wapi! Ila Church no! Click to expand... Mimi nikiamua kuwa binti Abiud, mtaniandalia na tuzo juu na kunipa nafasi ya kulisalimia Kanisa. Siku nikiamua kuwa binti Zuma sasa mweeh
Christine1 said: umetisha Mi fupi inategemea ni wapi! Ila Church no! Click to expand... Mimi nikiamua kuwa binti Abiud, mtaniandalia na tuzo juu na kunipa nafasi ya kulisalimia Kanisa. Siku nikiamua kuwa binti Zuma sasa mweeh
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Apr 6, 2022 #175,594 Strawbella said: Uko zako kwenye harusi halafu ndio umebeba sahani ya msosi Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Daah shetani mbaya sana
Strawbella said: Uko zako kwenye harusi halafu ndio umebeba sahani ya msosi Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Daah shetani mbaya sana
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,313 Apr 6, 2022 #175,595 Strawbella said: Mimi mwenyewe nabeba mmasai Incase miguu ikaanza kukataa kusogea Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!! Mie heels nimeshindwa kabisa!!
Strawbella said: Mimi mwenyewe nabeba mmasai Incase miguu ikaanza kukataa kusogea Click to expand... π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!! Mie heels nimeshindwa kabisa!!
Strawbella JF-Expert Member Joined Mar 24, 2021 Posts 1,758 Reaction score 5,803 Apr 6, 2022 #175,596 Nash9 said: Vina chagiza usmart Click to expand... Na vinaongeza confidence pia
Strawbella JF-Expert Member Joined Mar 24, 2021 Posts 1,758 Reaction score 5,803 Apr 6, 2022 #175,597 Heaven Sent said: Daah shetani mbaya sana Click to expand... acha kabisa
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Apr 6, 2022 #175,598 mahondaw said: !! Mie heels nimeshindwa kabisa!! Click to expand... Na lile guu lako daah: lingetisha mnooo ndani ya heel
mahondaw said: !! Mie heels nimeshindwa kabisa!! Click to expand... Na lile guu lako daah: lingetisha mnooo ndani ya heel
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Apr 6, 2022 #175,599 Strawbella said: Na vinaongeza confidence pia Click to expand... π¬ππ Sio unatembea kwa kutetemeka kama mgonjwa
Strawbella said: Na vinaongeza confidence pia Click to expand... π¬ππ Sio unatembea kwa kutetemeka kama mgonjwa
Strawbella JF-Expert Member Joined Mar 24, 2021 Posts 1,758 Reaction score 5,803 Apr 6, 2022 #175,600 mahondaw said: !! Mie heels nimeshindwa kabisa!! Click to expand... Sio lazima uvae virefu sana kuna zile mid heels wala hazichoshi na unatokelezea vizuri kabisa...
mahondaw said: !! Mie heels nimeshindwa kabisa!! Click to expand... Sio lazima uvae virefu sana kuna zile mid heels wala hazichoshi na unatokelezea vizuri kabisa...